|
|
|
Allamah Fadhlullah akumbukwa mjini Tehran |
|
|
|
|
Written by Baraza
|
|
Saturday, 24 July 2010 14:19 |
|

Shahid Muhammad Baqir Sadr: "Kila mtu anayeondoka Najaf hupata hasara lakini Najaf imepata hasara kutokana na kuondoka Allamah Fadhlullah katika mji huu."
|
|
Last Updated on Sunday, 25 July 2010 07:53 |
|
Read more...
|
|
Hisroria Fupi ya Madhehebu ya Kihanbali |
|
|
|
|
Written by Baraza
|
|
Saturday, 24 July 2010 12:00 |
|

Kitabu muhimu zaidi cha fiqhi cha Ibn Hanbal ni majmui ya fatuwa zake zilizotolewa kujibu maswali ya kidini ya wanafunzi wake. Kitabu hicho kimekusanywa na Ibn Qayyim al Jauziyyah aliyefariki dunia mwaka 751 Hijria na kimechapishwa katika juzuu 20.
|
|
Last Updated on Saturday, 24 July 2010 12:10 |
|
Read more...
|
|
Ayatullah Khamenei awataka wasomi wa Kiislamu kuweka wazi malengo ya maadui wa Uislamu |
|
|
|
|
Written by Baraza
|
|
Wednesday, 21 July 2010 12:35 |
|

Wasomi wa Kishia na Kisuni katika nchi zote za Kiislamu na Kiarabu wanapaswa kuweka wazi na kubainisha malengo maovu ya maadui katika kuanzisha na kuimarisha ugaidi wa kimakundi na kuwatahadharisha watu kuhusu hatari kubwa ya fitina za kimadhehebu ambazo ndio matumaini makubwa ya maadui wa Uislamu.
|
|
Last Updated on Thursday, 22 July 2010 09:14 |
|
Read more...
|
|
Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu ya Kiislamu yalaani shambulizi la kigaidi dhidi ya msikiti mkuu wa Zahedan |
|
|
|
|
Written by Baraza
|
|
Monday, 19 July 2010 09:11 |

Jumuiya ya kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhebeu ya Kiislamu imelaani vikali shambulizi la kigaidi lililolenga watu waliokuwa wakifanya ibada katika msikiti mkuu wa mji wa Zahedan huko kusini mashariki mwa Iran.
|
|
Last Updated on Monday, 19 July 2010 09:16 |
|
Read more...
|
|
Ujumbe wa salamu za rambirambi wa Kiongozi Muadhamu |
|
|
|
|
Written by Baraza
|
|
Monday, 19 July 2010 09:01 |
|

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza umuhimu wa kudumishwa umoja baina ya Waislamu wa madhehebu ya Shia na Suni nchini Iran.
|
|
Last Updated on Monday, 19 July 2010 09:10 |
|
Read more...
|
|
Tukio la kupewa utume Nabii Muhammad, mwanzo wa harakati ya kueleke kwenye saada na ufanisi wa mwanadamu |
|
|
|
|
Written by Baraza
|
|
Sunday, 11 July 2010 09:01 |
|

Tukio la kupewa utume Nabii Muhammad (saw) na dini ya Uislamu ni ujumbe ulioleta uadilifu, amani na utulivu kwa mwanadamu na njia hiyo ya tauhidi na kumpwekesha Mwenyezi Mungu hatimaye itawafikisha wanaoifuata katika ufanisi, wokovu na ushindi kwa mujibu wa ahadi ya kweli ya Mwenyezi Mungu.
|
|
Last Updated on Monday, 19 July 2010 09:18 |
|
Read more...
|
|
Historia fupi ya maisha ya Allamah Muhammad Hussein Fadhlullah |
|
|
|
|
Written by Baraza
|
|
Tuesday, 06 July 2010 13:50 |
|

Allamah Muhammad Hussein Fadhlullah alikuwa mjumbe wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu ya Kiislamu na alikuwa akifuatilia kwa bidii na juhudi kubwa masuala yanayohusiana na umoja wa ulimwengu wa kiislamu
|
|
Last Updated on Tuesday, 06 July 2010 13:54 |
|
Read more...
|
|
Ujumbe wa rambirambi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kufuatia kifo cha Ayatullah Sayyid Muhammad Hussein Fadhlullah |
|
|
|
|
Written by Baraza
|
|
Tuesday, 06 July 2010 07:29 |
|

Ayatullah Khamenei: "Mwanazuoni huyu mkubwa aliyekuwa na bidii alikuwa na taathira katika medani za dini na siasa, na Lebanon haitasahau huduma na baraka zake kwa miaka mingi."
|
|
Last Updated on Tuesday, 06 July 2010 08:04 |
|
Read more...
|
|
Taarifa ya Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu ya Kiislamu kwa mnasaba wa kuaga dunia Allamah Fadhlullah |
|
|
|
|
Written by Baraza
|
|
Monday, 05 July 2010 12:02 |
|

Kwa mnasaba wa kuaga dunia na kurejea kwa Mola Muumba Ayatullah Muhammad Hussein Fadhlullah, Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu ya Kiislamu imetoa taarifa na salamu za rambimbi kwa Waislamu wote. Matini ya taarifa hiyo ni hii ifuatayo:
|
|
Last Updated on Monday, 05 July 2010 12:14 |
|
Read more...
|
|
Allamah Fadhlullah, marjaa mkubwa wa Kiislamu aaga dunia |
|
|
|
|
Written by Baraza
|
|
Monday, 05 July 2010 10:51 |
|

Ayatullah Muhammad Hussein Fadhlullah, mwanazuoni shupavu wa Kiislamu wa Lebanon ameaga dunia leo akiwa na umri wa miaka 75. Marjaa huyo wa Kiislamu ameaga dunia baada ya kusumbuliwa na maradhi kwa kipindi kirefu.
|
|
Last Updated on Monday, 05 July 2010 11:01 |
|
Read more...
|
|
|
|
|
<< Start < Prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Next > End >>
|
|
Page 1 of 22 |